dsj
Course: Bus Host(ess)
Bus Host(ess)

Bus Host(ess)

TSHS. 480,000.00
FEES : TSHS. 480,000.00

Bus Host(ess)

Haushangai ni kwanini watu wengi wakiwemo watalii wanaridhika zaidi watumiapo ndege badala ya mabasi kama usafiri hapa Tanzania, ingawa ndege ni gharama zaidi! Moja ya sababu ni huduma nzuri zitolewazo na wahudumu wa ndege.

  • Je, unatambua kuwa kuhudumia abiria ni Taaluma kama nyingine?
  • Je, unatambua kuwa Huduma nzuri kwenye bus lako itaongeza idadi ya wateja?
  • Je, wewe uliyeajiriwa kwenye bus, unafahamu kuwa uweledi utaongeza tija na mshahara/kipato?

Mazoea ni ugonjwa mbaya sana kwa watanzania wengi. Ni muda wako sasa tukufunze:

  • Namna ya kuongeza thamani ya Huduma yako kwa abiria
  • Kauli nzuri ya kuongea na Abiria (Mteja)
  • Haiba na muonekano na wa muhudumu (Appearance of a Bus Host(ess)
  • Maadili ya kuhudumia mteja (Ethics of Customer Care)

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.