dsj
Course: Camera Repairing
Camera Repairing

Camera Repairing

TSHS. 480,000.00
FEES : TSHS. 480,000.00

Camera Repairing

Matumizi ya Kamera yanaongezeka kila siku kwenye familia zetu na hata maofisini. Hata hivyo, kuna mafundi wengi ‘vishoka’ mitaani, wakiwemo watengenezaji wa Kamera.

  •  Je, wewe ni mmoja wapo?
  • Je, una ndoto ya kuwa Fundi mwenye Taalum?
  • Je, wajua Ufundi wa Kamera unahitaji mtu mwenye Taaluma husika?
  • Ufundi huu utakusaidia kujiajiri (ama kuongeza wateja maradufu) kama siyo kuajiriwa.

Ni muda wako sasa, tutakufundisha:

  • Kutambua ubovu wa Kamera (Troubleshooting)
  • Taaluma ya  Kutengeza Kamera
  • Kufahamu jinsi ya kupata “spare” ambazo hazipatikani kwa urahisi n.k

Baada ya mafunzo haya utapewa na vitendea kazi (Professional Maintanance Toolkit)

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.