dsj
Course: Mobile Phone Repairing
Mobile Phone Repairing

Mobile Phone Repairing

TSHS. 480,000.00
FEES : TSHS. 480,000.00

Mobile Phone Repairing

Tunatambua kuwa unafanya matengenezo ya Simu za Mkononi pasipo uweledi. Sasa usikubali kuitwa “KISHOKA” tena.

  • Je, unataka kufahamika na mamlaka za mawasiliano kama ni fundi mwenye uweledi?
  • Je, unataka kujiongezea wateja maradufu kwa muda mfupi?  

Usiendelee kufanya kazi kwa mazoea jiunge nasi ili:

  •  Tukupe uweledi;
  • Tukupe cheti kinachotambulika na mamlaka;
  • Tukupe vitendea kazi (maintenance Toolkit); na
  • Uhakika wa Kujiajiri

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.