Radio Production
- Je, unatambua kuwa uzalishaji wa vipindi vya Redio ni muhimu katika Tasnia ya Uandishi wa Habari?
- Je, unatambua kama muandaaji wa vipindi vya Redio ni mtu muhimu sana katika Redio?
- Je, unatambua kuwa, kama hakuna muandaaji wa vipindi hakuna matangazo ya Redio?
Acha kuandaa kiholela, njoo tukupe:
- Ujuzi juu ya Uandaaji wa Vipindi vya Redio
- Uelewa wa kuufahamu na kuusoma Mwongozo (Script) ya kipindi
- Kutengeza Mwongozo wa Vipindi
- Elimu ya kumiliki chumba cha uzalishaji wa vipindi, na uendeshaji wa mitambo yenyewe n.k
Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.