Online Media Professional Practitioner
JE, UNAENDESHA MITANDAO YA KIJAMII LAKINI HAUJASOMEA UANDISHI WA HABARI?
Yafuatayo ni baadhi ya mambo unayopaswa kufahamu ili kuongeza ubora wa mitandao yako:
- Uandishi bora wa habari za mitandaoni,
- Maadili ya matumizi ya mitandao ya jamii,
- Sheria za mitandao na jinsi zinavyofanya kazi,
- “Point” 3 zitakazovutia Wafuatiliaji (Followers) wako,
- Jinsi ya kuandaa Maudhui (contents) bora yatakazovutia mitandao yako, na
- Uandishi bora wa vichwa vya habari kwa ajili ya picha za kurushwa mitandaoni
Na mengine mengi
Muda wa kozi ni wiki tatu (3) tu.