dsj
Course: Radio And TV Broadcasting
FEES : TSHS. 480,000.00

Radio and TV Broadcasting

Tunajua una Kipaji cha Utangazaji, lakini haitoshi

“Power without Control is Nothing”

  • Je, unajua Utangazaji umefikia ‘thamani ya Dhahabu’ siku hizi?
  • Je, unajua jinsi ya kuitunza na kucheza na Sauti yako jinsi utakavyo?
  • Je, unajua ukosefu wa maadili ya utangazaji waweza kukuweka matatani?

Karibu tukukazie maarifa yako ya:

  • Namna ya kutangaza katika  Radio/Luninga
  • Kuandaa vipindi vya Radio/Luninga kwa umahiri mkubwa
  • Maadili ya Utangazaji wa vipindi vya Redio/Luninga
  • Jinsi ya kuandaa Mwongozo wa Vipindi
  • Jinsi ya kuitengeneza, kuitunza na kucheza na sauti yako n.k

Inafundishwa kwa muda wa wiki sita (6) tu.