News, Events and Announcement


Our New partner


Posted on 2019-05-03 05:39:22

  Due to our affordable Services........... Good Governance Support Organisation(GGSO) has managed to among other solutions: Corporate Websites; Server space for hosting their website and emails:and Customised Corporate Emailing System; please Visit their new websites through: www.ggso....

Read More

Corporate websites


Posted on 2019-05-03 05:17:26

Je,unahitaji.Tovuti ya kisasa kwa ajili ya biashara yako.Nafasi ya kuhifadhi Tovuti na Barua pepe.Mfumo wa barua pepe maalum kwa biashara yako.Mfumo wowote wa biashara za kimtandao;n k?...

Read More

In need of Corporate Websites


Posted on 2019-04-23 06:59:38

In need of:Corporate Website;Server space for hosting your website and Emails;Customised corporate Emailing system;eCommerce system, etc?...

Read More

kozi fupi ya Website Development with LARAVEL


Posted on 2019-04-08 06:22:33

Learn how to install and configure Laravel, Learn foundational topics such as routing and requests,controlling using databases, understand the syntax, learn authentication system and much more, understand the file structure, understand basic workflow, learn to submit forms, process data and save i...

Read More

Kozi fupi ya python programming language for beginners


Posted on 2019-04-08 06:18:41

Learn how to create functions with Python, Read Files and apply regular expressions with Python, Use Objects Oriented Programming with Python, Build a complete understanding of Python from the ground up, Using Python in Jupyter Notebooks, Gathering input and manipulating input/output, Building reu...

Read More

kozi ya Android Mobile App


Posted on 2019-04-08 06:13:13

Understand the current field of mobile computing, Have a complete hands-on experience with current mobile platforms, Evaluate the role that mobile systems play in the ever-changing technology field, Compare and contrast various technologies involved in mobile communication, including encryption an...

Read More

kozi fupi ya Boot Camp on Securing computer Net


Posted on 2019-04-08 06:07:17

Explain the concepts of confidentiality, availability and integrity (CIA) in context of system Information Assurance:(Cyber security Fundamentals theory), Articulate the threats to CIA and be able to analyze a given architecture, discern vulnerabilities and recommend physical or administrative c...

Read More

Kozi ya Boot Camps on Computer Networking


Posted on 2019-04-08 06:00:53

Describe hardware, software and services that comprise an enterprise network, Articulate how to integrate to form a network solution:(Network Integration Theory),Articulate key networking protocols and their hierarchical relationship in the context of a conceptual model such as the OSI and TCP/IP ...

Read More

kozi fupi ya Website Development with LARAVEL


Posted on 2019-03-20 11:36:04

Learn how to install and configure Laravel, Learn foundational topics such as routing and requests,controlling using databases, understand the syntax, learn authentication system and much more, understand the file structure, understand basic workflow, learn to submit forms, process data and save...

Read More

kozi fupi ya Website Development


Posted on 2019-03-20 03:24:13

After a successful completion of this course, one should be able to: Define the purpose of HTML, CSS and JavaScript, Make a simple web page using HTML, Use CSS to control text styles and layout, Use CSS libraries such as Bootstrap to create responsive layouts, Use JavaScript variables and funct...

Read More

kozi fupi ya Python Programming Language for Beginners


Posted on 2019-03-20 02:49:33

Learn how to create functions with Pyton, Read Files and apply regular expressions with Python, Use Objects Oriented Programming with Python, Build a complete understanding of Python from the ground up, Using Python in Jupter Notebooks, Gathering input and manipulating input/output, Buildnding reu...

Read More

Nafasi za kazi


Posted on 2019-02-01 06:01:49

...

Read More

internship opportunity


Posted on 2019-01-15 06:57:54

...

Read More

Nafasi za Mafunzo " INTAKE" ya January


Posted on 2019-01-15 06:45:44

Chuo cha Uandishi wa Habari {Dsj} kinapenda kuwataarifu kuwa bado wanaendelea kupokea wanafunzi wa kozi zote katika muhula huu mpya wa masomo 2019/2020{January},kwa mafunzo mahiri na yenye kuleta tija karibu Dsj.wahi sasa nafasi ni chache....

Read More

kozi fupi ya huduma kwa wateja wa bus


Posted on 2019-01-15 06:39:14

Kozi hii itafundishwa kwa kipindi wiki 6 njoo ujue namna ya kuongeza thamani ya huduma yako kwa Abiria,haiba na muonekano wa muhudumu{Appearance of a Bus Hostless}karibu....

Read More

kozi fupi ya uandaaji wa vipindi vya radio


Posted on 2019-01-15 06:29:13

Dsj inawapa ujuzi juu ya kuandaa vipindi vya redio,uelewa na ufahamu jinsi ya kuusoma mwongozo{scripts}wa vipindi vya redio na vingine vingi njoo Dsj kwa elimu bora....

Read More

Kozi fupi ya kuandaa graphics za vyombo vya kielectronik na magazeti


Posted on 2019-01-15 05:46:59

Njoo upate uweledi wa kutengeneza na kuandaa graphics za magazeti na vijarida pia kubuni na kutengeneza utangulizi wa kutambulisha kipindi cha Luninga.njoo Dsj kwa Elimu Bora wahi sasa nafasi ni chache....

Read More

kozi Fupi ya Ufundi wa Simu za kiganjani


Posted on 2019-01-15 05:37:54

Usiende kufanya kazi kwa Mazoea karibu Dsj upate Mafunzo sahihi ya Ufundi wa Simu za Kiganjani,nafasi bado zipo masomo yanaendelea.karibu ...

Read More

Kozi Fupi ya Ufundi wa Kamera


Posted on 2019-01-04 08:18:38

Matumizi ya kamera yanaongezeka kila siku kwenye familia zetu na hata maofisini,hata hivyo kuna mafundi wengi 'VISHOKA' mitaani,wakiwemo watengenezaji wa kamera.Njoo DSJ usome tukupe mafunzo mafupi juu ya upigaji wa picha kwani ufundi huu utakusaidia kujiajiri ama kuongeza wateja maradufu kama siy...

Read More

Kozi fupi ya Huduma kwa Mteja


Posted on 2019-01-04 08:08:01

Moja ya Makosa makubwa yanayofukuza wateja wengi ni huduma mbovu tunazowapa njoo tukupe mbinu nzuri ya kuhudumia wateja pia tukupe uweledi wa kazi yako.Njoo DSJ kwa kozi fupi ya Huduma kwa Wateja kwa muda wa Wiki sita {6} tu,utakuwa umehitimu, kozi itaanza mapema January 2019. karibu sana...

Read More

Kozi Fupi ya Uigizaji wa Filamu


Posted on 2019-01-04 07:59:32

Imeonekana kuwa "BONGO MOVIE"inashuka,na moja ya sababu kubwa ni kukosekana kwa uweledi kwenye Tasnia ya Uigizaji wa Filamu,njoo DSJ kwa kozi hii Fupi ili uwe mwigizaji mahiri wa Filamu, kozi hii inatolewa kwa wiki sita {6} tu,utakuwa umehitimu kwani kutafuta kuuza sura pasipo uweledi ni kazi bure...

Read More

Kuwa wa kwanza Kwa Punguzo Kubwa


Posted on 2019-01-04 06:55:05

Kwa Maelezo Zaidi Fungua www.jifue.co.tz kujaribu ni bure ...

Read More

Mabadiliko ya Ada kwa Mwaka wa Masomo 2019


Posted on 2019-01-04 06:46:27

Mabadiliko ya Ada kwa Mwaka Wa Masomo 2019 kwa Wanafunzi Wote watakaojiunga na Muhula wa Masomo wa Mwaka 2019. Kwa maelezo zaidi Wasiliana nasi kwa mawasiliano ya hapo juu.Asante na Karibu Ujiunge Nasi....

Read More

Huduma ya kutangaza kwa Tovuti na Barua Pepe


Posted on 2019-01-04 06:38:27

...

Read More

Kozi Fupi ya Utengenezaji wa Filamu


Posted on 2019-01-04 06:29:46

Njoo DSJ tukufundishe jinsi ya kuandaa Mwongozo wa Filamu kwani sasa Filamu ina soko kubwa sana na tukupe ujuzi wa kuongoza na kuhariri Filamu, Kozi hii utasoma kwa wiki sita{6}tu,utakuwa umehitimu. Masomo yataanza mapema January 2019. ...

Read More

Kozi fupi ya Utangazaji wa Redio/Luninga


Posted on 2019-01-04 06:15:30

Tunajua una kipaji cha Utangazaji,lakini haitoshi njoo DSJ kwa kozi hii Fupi ya Utangazaji wa Redio/Luninga kwani sasa Utangazaji umekuwa na thamani ya Dhahabu, njoo tukufundishe jinsi ya kuchezea sauti yakojinsi utakavyo. Kozi ni ya wiki sita{6}tu,utakuwa umehitimu,kozi itaanza mapema January 201...

Read More

Kozi fupi ya Mitandao ya Kijamii/Matumizi sahihi ya Mitandao ya Kijamii


Posted on 2019-01-04 06:02:37

Je, unajua kwamba matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii huongeza kipato na je unafahamu kuwa hii ni Ajira yenye Mshahara Mkubwa , Vipi kuhusu kutajirika kwa Haraka? Njoo usome nasi Kozi hii kwa Muda wa wiki sita{6} tu na utakuwa umehitimu....

Read More

Mahafali ya 23 ya Chuo Cha Uhandishi wa Habari DSJ


Posted on 2018-12-10 04:11:47

Dsj Tanzania inapenda kuwakumbusha wanafunzi na watu wote kuwa MAHAFALI ya 23 ya Chuo hicho yanatarajiwa kufanyika siku ya IjumaaTarehe 21/12/2018 katika ukumbi wa BASATA uliopo Shariff Shamba jijini Dar es salaam. WOTE MNAKARIBISHWA....

Read More

"MAKINI" Launch


Posted on 2018-09-25 06:49:43

Lengo la kila Biashara ni kutengeneza Pesa.Sisi tunatambua shida unayoipata katika Utunzaji wa taarifa za Kifedha za biashara yako, ikiwemo utumiaji wa karatasi na Calculator, Je wakaguzi wa Fedha{Financial Auditors} wanapokuja unafedheheka kiasi gani? Kwa kutambua yote hayo, tumekuletea rafi...

Read More

Ziara kwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha


Posted on 2018-09-24 04:15:52

  Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha uandishi wa Habari Dar es Salaam {DSJ} wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Bw. Gabriel Daqarro{ wa pili kushoto kwa waliokaa} na wa pili kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. David Mwakiposa....

Read More

Mhura Mpya wa Masomo


Posted on 2018-09-10 07:57:02

Hawa ni Baadhi ya Wanafunzi wa Mhura Mpya wa Masomo 2018/2019 ulioanza leo tarehe 10.09.2018 wakisubiri viongozi wao ili kuwapa maelekezo kamili kuhusu chuo na Mazingira yake....

Read More

Mazoezi kwa Vitendo


Posted on 2018-08-17 07:22:09

Baadhi ya Wanafunzi wa DSJ wakimsubiri Mwalimu wao Mr.Sinka ili aweze kuwaelekeza jinsi ya kupiga Picha za Mnato katika kipengele cha Mazoezi kwa Vitendo Wilaya ya  Bagamoyo iliyopo Mkoani Pwani....

Read More

Ubunifu kwa watu wote


Posted on 2018-05-31 07:39:17

  Kama unakutana na changamoto zozote kwenye biashara au maisha yako ambazo zinzhitzji ubunifu basi Tembelea www.tyd.or.tz...

Read More

Nafasi muhimu ya field kwa wataaluma wa Programmes and System Developers..


Posted on 2018-05-31 07:30:56

Interniship opportunity for Programmers/System Developers....

Read More

kozi fupi ya uigizaji wa Filamu


Posted on 2018-04-06 06:40:58

  Usikubali Kuigiza tu bila kupata KNOWS-HOWS Utajitia Aibu kwani Fursa za kukuza Uweledi zinaendelea,sasa ni kiwanda cha Filamu Cha Tanzania njoo DSJ usome nasi Kozi Fupi ya Uigizaji wa Filamu.Karibu na Asante ...

Read More

kozi fupi ya Huduma Kwa Wateja Kwenye Mabasi


Posted on 2018-04-06 05:31:09

  kazi ya kuendesha Mabasi ya Starehe ni kazi kama zilivyo kazi zingine, Abiria wa Mabasi nao wanahitaji huduma bora njoo DSJ kwa Kozi Fupi ya Huduma kwa Wateja kwenye Mabasi ili uwaridhishe wateja wako.karibu na asante. ...

Read More

kozi Fupi ya Ufundi wa Kamera


Posted on 2018-04-04 10:57:30

  Chuo cha Uandishi wa Habari DSJ,kinatambua kuwa Matumizi ya Kamera yanaongezeka kila siku kwenye familia zetu na hata Maofisini lakini watengenezaji ni wachache,njoo Dsj Usome Kozi Fupi ya Ufundi wa Kamera ili kuepuka k.uwa kishoka, Karibu na Asante...

Read More

Kozi Fupi ya Utengenezaji wa Filamu


Posted on 2018-04-03 04:58:52

  Tuanaamini unapenda kushiriki ukuaji wa ''BONGO MOVIE'' Kwa kutumia uweledi njoo DSJ tukupe elimu bora ya kutengeneza Filamu....

Read More

Kozi fupi ya Matumizi ya Kompyuta


Posted on 2018-04-03 04:45:08

  Tunakuthamini sana hivyo hatutaki uendelee kuwa mtu usieenda na wakati karibu DSJ kwa kozi fupi ya Matumizi ya kompyuta, karibu na Asante....

Read More

Kozi fupi ya Utangazaji wa Redio na Luninga


Posted on 2018-04-03 04:32:57

  Tunajua una kipaji cha Utangazaji, Karibu DSJ Kwa Mafunzo bora ya Utangazaji wa Redio na Luninga, Asante na Karibu ...

Read More

Kozi fupi ya Huduma kwa Mteja


Posted on 2018-03-29 11:22:48

Watu wengi hatujui kuwa huduma bora urudisha Mteja, njoo DSJ kwa Kozi Fupi na Mahiri ya Huduma kwa Mteja. karibu na Asante....

Read More

Kozi fupi ya kuandaa Graphics za Vyombo vya Kieletronic na Magazeti


Posted on 2018-03-29 06:58:31

Graphics nzuri inawezekana na inawezekana kwa kupitia Mafunzo ya uhakika kutoka kwa Chuo cha Uandishi wa Habari(DSJ) yanayokuwezesha kujiajiria na kupata kipato kikubwa kwa kusoma Graphics and Designing, karibu na Asante...

Read More

Kozi fupi ya Uandaaji Wa Vipindi Vya Redio


Posted on 2018-03-27 09:11:36

Maarifa ndio ujanja,jiajiri na upate kipato kikubwa au ajiriwa kwa mshahara mkubwa kwa kusoma kozi Fupi ya Uandaaji wa vipindi vya Redio....

Read More

Kozi Fupi ya Masoko Kupitia Mitandao ya kijamii


Posted on 2018-03-27 06:49:01

karibu Dsj usome nasi kozi fupi ya Masoko kupitia mitandao ya kijamii....

Read More

Kozi fupi ya Kuandaa na Kutengeneza Magazeti


Posted on 2018-03-27 06:41:40

karibu DSJ kwa mafunzo ya Utengenezaji na Uandaaji wa Magazeti...

Read More

Kozi Fupi Ya Ufundi Wa Simu Za Kiganjani


Posted on 2018-03-27 05:46:42

...

Read More

Washiriki wa Miss Dsj wakiwa katika Mazoezi


Posted on 2018-03-14 08:31:13

                       Baadhi ya washirki wa Miss na Mr DSJ wakiwa katika mazoezi chuoni hapo.   Walimbwende wajiandaa ipasavyo kwa ajili ya Miss DSJ Na Zainab Salum DSJ Dar es salaam, Kuelekea kwenye sherehe ya kuaga na kukaribi...

Read More

Orientation week Dsj


Posted on 2018-03-14 08:11:03

Leo taerehe 14/3/2018 baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha uandishi wa Habari na Utangazaji DSJ wakiendelea na wiki ya Maandalizi kwa ajili ya Muhula  Mpya wa Masomo(Orientation Week) iliyoanza jana Tarehe 12/3/2018.Meza kuu (kushoto) Rais wa Serikali ya Wanafunzi (Dasjoso)Sharrif Makame, Deusdedi...

Read More

Wanafunzi wakiwa katika Majadiliano


Posted on 2018-02-26 08:46:15

Baadhi ya wanafunzi wa stashahada wa Chuo Cha Uandishi wa Habari Dar es salaam(DSJ) wakiwa katika majadiliano ya baadhi ya masomo yao, wakijiandaa kuingia katika chumba cha Mtihani chuoni hapo ilala Bungoni leo....

Read More

Wanafunzi Wa Dsj Wakiangalia Matokeo


Posted on 2018-02-20 03:49:54

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Cha Uandishi wa Habari Dsj wakiangalia Matokeo yao ya Mtihani katika Ubao wa Matangazo Chuoni hapa, Ilala Bungoni Mtaa wa Sharif Shamba jijini Dar es salaam....

Read More

Mafunzo ya Social Networking


Posted on 2018-02-09 03:53:23

Wafanyakazi na Wadau wa Umoja wa Taasisi ya Mafunzo (UTI) wakiwa kwenye Mafunzo Maalum Ya Utumiaji Wa Mitandao ya kijamii yaliyofanyika  katika Chuo Cha Uandishi Wa Habari Morogoro (MSJ) jana, ili kuwaongezea Maarifa na Ujuzi Juu ya Utumiaji wa Mitandao hiyo.   ...

Read More

NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA DAR ES SALAAM SCHOOL OF JOURNALISM (DSJ)


Posted on 2018-02-06 01:30:58

CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (DSJ) CHENYE USAJIRI WA NACTE WA KUDUMU NA WA VETA TUNAKUKARIBISHA KUJIUNGA NA NAFASI ZA MASOMO MBALIMBALI 1.Online Social Media Marketing 2.News Paper Design3. Camera Repair 4.Mobile Phone Repair 5.Graphic Designkwa Course nyingine  LO...

Read More

DAR ES SALAAM SCHOOL OF JOURNALISM (DSJ): JIUNGE NASI


Posted on 2017-11-10 07:10:46

Jiunge na masomo ya uandishi wa habari na utangazaji kwa Vitendo katika Ngazi ya (Basic Certificate) Astashahada pamoja na (Ordinal Diploma) stashahada.  Kwa Course mbalimbali: Journalism, Ict ,Public Relation. Karibu sana! Chuo cha Uandishi wa habari Dar es salaam, Chuo kimesajliwa na Na...

Read More

UWASILISHAJI WA HABARI KWENYE TOVUTI YA DSJ


Posted on 2017-11-10 07:09:43

Wanafunzi wote mnaosoma kozi ya Uandishi wa Habari Chuoni DSJ, manahimizwa kuanzia sasa kuanza mazoea ya uwasilishaji wa habari kwa Wahariri wenu. habari hizo baada ya kuhakikiwa zitawekwa moja kwa moja kwenye tovuti hii na "Website Administrator"....

Read More