dsj
Course: Film Acting
Film Acting

Film Acting

TSHS. 480,000.00
FEES : TSHS. 480,000.00

Film Acting

Imeonekana kuwa “Bongo Movie” inashuka, na moja ya sababu kubwa ni kukosekana uweledi kwenye Tasnia ya Uigizaji wa Filamu.

  • Je, wewe ni mmoja kati ya wenye ndoto za kuwa mwigizaji?
  • Je, unapenda kuwa mwigizaji mahiri?
  • Je, wajua kuwa tasnia ya filamu ni taaluma kama zilivyo taaluma nyingine?

Usitafute umaarufu wa kuuza sura pasipo uweledi, jongea tukufunze yafuatayo:

  • Uigizaji wenye kufuata taaluma maalum
  • Uigizaji wenye mashiko na mvuto
  • Mitindo mbalimbali ya kuigiza (Tamthilia, komedi n.k) n.k
  • Baada ya Mafunzo haya, itakuwa rahisi kwako kupata mikataba na Makampuni makubwa na ya kimataifa.

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.